Mungu Ana Akili Sana..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Mungu ana akili sana alivyotuumba,laiti kama Miili
yetu hii ingekuwa kama Housing za Nokia Kitochi,the
more unavyotumia ndo Button zinaumuka kama
Mimba ya Mjusi sijui ingekuwaje Maana kuna watu ni
wadogo lakini wametumika ile mbayaaaa,Mtu ana
miaka 21 lakini mizigo anayobeba ukiambiwa ni balaa,Vibabu wa kizungu
ndaniiii,makondaktaaaa wanabonyeza Mabaamedi
humoooo, wanaume wafacebook wanapitia, Watu
wazima kama Baba zao wanaclick button kisa wana
hela,na wale wanaojifanyaga wao ni disminders,ukio
ngea kuhusu Mapenzi utawasikia,Akuubabu,Mi niko Single and I enjoy it,Mapenzi mi ya nini,kuchoshanatu
na uongo,kumbe kimyakimya wanajiiba ku-clickiwa
Button.Uongo ungepungua,maana watu wangejifanya
Single halafu tunaona Housing inachakaa na Button
zinaumuka,tungewauliza vipi ndugu kulikoni,Si uko
single mbona Button Zinachoka?? Ila Mungu kafichia watu siri,watu wanatumika lakini nje aah swaafiii
kabisa,mtu ana msururu weeeee,lakini akija kwako
anaekti Bongomovie,anakwambia Baby(ile
inayotokea puani),before you I had One Boyfriend
wewe wa 2 pliizz usiniumize. Ingiza pole pole na
wewe unaingia kingi,kiruu! Unaamini zile bebi bebi unajiona umewahiiiii kumbe button imechoka mbaya
ndo uko mkiani kwenye list inaishia ishia. hahahaha
nomaa sana
 
We mapenzi yashakushinda maana kila siku unawarushia vijembe madada zetu
 
Kuna mtu kama namuona vile... dah, ila ndo maisha tena
 
Mkuu una uwezo mkubwa sana wa kuanzisha thread.
 
Hili Taifa limekuwa stagnant for the fifty years kwa sababu ya mawazo kama haya!
Inasikitisha mpo mnaojua sababu ya taifa kuwa stagnant yet there is nothing you can do, pathetic!
 
Inasikitisha mpo mnaojua sababu ya taifa kuwa stagnant yet there is nothing you can do, pathetic!
Tunaandaa mpango kabambe wa kuanza kuwanyonga hadi kufa watu wenye fikra hasi kama ninyi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…