Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia

angalizo kwako dada cheusimangala nahisi kama itapata kutu vile we sali sana kabla haijawa hivyo..
BTW hongera sana mamaa..
 
Hongera sana. Jamaa ni mchaga? maana hawa jamaa bila maombi hakieleweki...
 
Hongera sana Dada Cheusi, na nitaendelea kukuombea muwe na afya njema na huyo shemeji asibadili mawazo.....
thanx katavi,ubarikiwe kwa maombi utakayotufanyia.
hapo kwenye red, i rebuke it from happening in Jesus name,he is mine till death do us part in jesus name.Amen.
 
Enzi zetu hakukuwa na kuvalishana pete za uchumba!!!

Siku hizi nimeshuhudia wachumba wanavalishana pete za uchumba mpaka uchumba unavunjika!!!

Anywayz endelea na maombi maana "siku hizi" we acha tu!
 
hongera.
 

thanx u so much.napata faraja kuona mkifurahia pamoja nami.Ndoa ni jambo jema,na siku zote nitahakikisha uwepo wa Mungu unatawala ktk nyumba yangu ili aniepushe na kauli kuwa ndoa ni njungu,nikimtumainia yeye nina hakika kabisa mm na mwenzangu tutaiona kuwa nyumba yenu ni sawa na bustani ya eden.Ni kweli shemeji yako ana bahati sababu nina mpenda sana tena kwa dhati.
Hapo pekundu umenigusa sana machozi yananilenga kwa furaha ya kunionesha upendo namna hii,hiyo thread nitaitoa copy na nitazingatia kila neno litakalokua limeandikwa humo.Asante sana my darling sister na Mungu akubariki.
 
Kwa kweli hiyo furaha yako ni ya uhakika, ila ninalo swali kidogo; huyo shem wetu uliwahi kufanya naye mambo ya kikubwa???????? Maana unasema mmejuana siku nyingi kivipi??? Kama ni hivyo mtabidi mtubie dhambi zenu kwanza kabla ya kumshirikisha Mungu kwenye mipango yenu ya ndoa. Msirudie tena kukutana kimwili hadi harusi!!!!!!!!! Bila shaka mmenielewa!!!!!!!!!
 
Hongera sana cheupe,...ops cheusiManga,...
Usisahau hata stage moja ya maisha yako kumshirikisha Mungu,...

Nasubiria majibu kabla ya kwenda kupima na wifi yako mwezi ujao so
i hope ntatoa pete soon pia
(mmh,natetemeka balaa hapa)
 
Hongera sana cheusi. Angalia usimuonjeshe asali atakimbia akilamba

thanx fidel kwa hongera na kwa tips.
safari hi nakuruhusu unidai chochote utakacho nitatoa kama kipo ndani ya uwezo wa kutolewa.
 
thanx fidel kwa hongera na kwa tips.
safari hi nakuruhusu unidai chochote utakacho nitatoa kama kipo ndani ya uwezo wa kutolewa.
Hapa sasa cheusimangala hommie wangu Fidel kwa statement hii ngoja nimsubiri nione atajibu nini lol!!!
 


Mwenyezi Mungu atubariki woote.... Tuombe tu uzima.
 
Enzi zetu hakukuwa na kuvalishana pete za uchumba!!!

Siku hizi nimeshuhudia wachumba wanavalishana pete za uchumba mpaka uchumba unavunjika!!!

Anywayz endelea na maombi maana "siku hizi" we acha tu!


ni kweli BE hata mie nimeshashahudia mauchumba mengi yakivunjika,lkn huu wa kwangu umesimikwa kwa damu ya Yesu,Hautavunjika hata kwa kifo,maana mim na mume wangu tukifa ktk mwili tutakutana tena mbinguni kwa baba.Mungu apewe sifa maana anastahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…