Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia

hongera sana cheusi mangala,ni hatua ya kujifariji hiyo!
zimalize zote hizo furaha mama, jiachie kabisa na ufurahie maisha,
kwani hiki ndo kipindi hasa cha kwenye peak za hiyo furaha,
ukishaingia huko kwenye hiyo big brother changamoto huwa ni nyingi sana.............
tena waweza kuta furaha kama hii usiipate tena, kama karata zitapishana kidogo,

anyway sikutishi, ila ni hali halisi!!!!!!!!!!!!!!!KARIBU KWENYE CHAMA CHA WAUNGWANA

namtafuta shosti jamani,
mmenionea wapi shosti wangu wa ukweeeeeee.........

Hongera sana Cheusimangala

am so happy for u dear ,mungu akutangulie katika jambo hili..endelea kuomba na kuamini...
endelea kuomba na kuamini kwani siku zote mungu hutoa kwa wakati anaopanga yeye.

Hongera cheusi, ni kweli Mungu anajibu maombi mpenzi, usijenogewa tu ukasahau kuomba.

Nakutakia kila la kheri katika hatua zinazofuata.

Hongera Cheusi ubarikiwe sana!
Naona kwenye thread hii nimewaona karibia wakongwe wote hapa!

Hongera sana Cheusimangala

am so happy for u dear ,mungu akutangulie katika jambo hili..endelea kuomba na kuamini...

endelea kuomba na kuamini kwani siku zote mungu hutoa kwa wakati anaopanga yeye.

Hujambo mama wa kwanza?
Leo twasherekea furaha ya Cheusi bana!

Hongera sana Cheusimangala

am so happy for u dear ,mungu akutangulie katika jambo hili..endelea kuomba na kuamini...
endelea kuomba na kuamini kwani siku zote mungu hutoa kwa wakati anaopanga yeye.

thanks Fl1,
nimekumiss ile mbaya,
amen kwa sala,ubarikiwe mpendwa wangu.

Hongera Cheusi ubarikiwe sana!
Naona kwenye thread hii nimewaona karibia wakongwe wote hapa!
thanx Kimey.
nawe ubarikiwe pia.wakongwe wenzangu mna upendo sana,i feel blessed kuwa nanyi ktk maisha yangu,japo si wote niwajuao kwa sura lkn nabarikiwa sana.

kwema kabisa dearest, kumbe waweza?....kwa hii mistari yako imenishusha hacra niliyokuwa nayo na kuifanya weekend yangu ianze vzr....

Ubarikiwe sana - mPM cheusimangala umpe shule ya uchumba - usimtishe lakini, maana wewe mmmh!

au 2jipe moyo kwamba kuna zingine furaha mwanzo mwisho? mie nshakwaruzana asubuhi hii bac kumsoma Cheusi nikasema ewaaaa waongezeke nao watupokelee vijimambo humu ndnai.

Tuimbe pamoja wimbo huu.

"sikilizeni furaha yangu,Mungu ni pendo anipenda"

then huu hapa

In Christ alone my hope is found
He is my light, my strength, my song
This Cornerstone, this solid ground
Firm through the fiercest drought and storm
What heights of love, what depths of peace
When fears are stilled, when strivings cease
My Comforter, my All in All
Here in the love of Christ I stand

thanx fidel kwa hongera na kwa tips.
safari hi nakuruhusu unidai chochote utakacho nitatoa kama kipo ndani ya uwezo wa kutolewa.

Wow duh naamini utakuja na shem kabisa nimkubadhi kuwa huna doa wala nundu ole wake.

Nijumlishe kwenye kamati ya send off katika ukusanyaji uchakavu

Ubarikiwe sana - mPM cheusimangala umpe shule ya uchumba - usimtishe lakini, maana wewe mmmh!

Hahaha Kiongozi nnacho mpendea Nyamayao linapokuja swala hilo hua harembi kabisa anawapa live bila chenga!

thanx Kimey.

nawe ubarikiwe pia.wakongwe wenzangu mna upendo sana,i feel blessed kuwa nanyi ktk maisha yangu,japo si wote niwajuao kwa sura lkn nabarikiwa sana.
Usijali mpendwa utaona sura yangu nikigonganisha Glasi na wewe siku ya harusi bana!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…