Inahusu??Kwa kweli hiyo furaha yako ni ya uhakika, ila ninalo swali kidogo; huyo shem wetu uliwahi kufanya naye mambo ya kikubwa???????? Maana unasema mmejuana siku nyingi kivipi??? Kama ni hivyo mtabidi mtubie dhambi zenu kwanza kabla ya kumshirikisha Mungu kwenye mipango yenu ya ndoa. Msirudie tena kukutana kimwili hadi harusi!!!!!!!!! Bila shaka mmenielewa!!!!!!!!!
kila la kheri Cheusimangala.....be blessed!
Amen...<font color="#ff0000"><font color="#222222">thanx katavi,ubarikiwe kwa maombi utakayotufanyia.<br />
hapo kwenye red, i rebuke it from happening in Jesus name,he is mine till death do us part in jesus name.Amen.</font></font>
Mbona hujawahi kuniambia kama upo hapa JF?Waambie pia kuwa pete hiyo niliyokuvalisha ni aghali sana...!Amani ya Mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.
Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa wangu.
Hapa nilipo nina furaha ya ajabu,ni muda mrefu sijawahi kuwa na furaha ya kiwango cha juu namna hii.Shemeji yenu nimpendae kuliko kitu chochote hapa duniani amenifanya the happiest woman alive kwa kunivalisha pete ya uchumba.Huyu shem wenu kuna kipindi nilidhan ananipotezea muda maana kila nilikua nikimtajia mambo ya ndoa alionekana hayuko tayari.Baada ya kusubiri sana nikaamua kufunga kwa MAOMBI,nikasema Mungu kama huyu kijana siye uliyeniandalia naomba umfanye aniache nisonge mbele asinipotezee muda ila kama ndiye uliyenipangia basi naomba unipe ishara kwa yeye kunivalisha pete bila ya mim kumwambia wala kuongea lolote lenye kuhusiana na ndoa.Kwa kweli Mungu wangu is the most highest God,no one like him,i will always serve him.Ndugu zangu lengo la kuandika hapa,sio tu kuwashirikisha furaha yangu bali pia ni kuwashuhudia kwamba tumshirikishe Mungu kwenye mambo yetu yote,maana hekima zake si kama zetu.
Ashadii niandalie kitchen party.
sasa pale si anachaji betri akifika home mikwaju lol!<br />
Homu boy bana! Sasa kama we unashinda continental kwa nini roho isimpande bana?
kanga moko muhimu kwenda alone bana mi napenda wakija kucheza kwa kuniwekea miguu yao mapajani kufumba na kufumbua pochi imepungua balaa hahaha!hahahaha nikienda nae ni balaa lazima zogo litokee na wahudumu eti kwa nini mhudumu ananiangalia mno
sasa pale si anachaji betri akifika home mikwaju lol!
kanga moko muhimu kwenda alone bana mi napenda wakija kucheza kwa kuniwekea miguu yao mapajani kufumba na kufumbua pochi imepungua balaa hahaha!
hivi vikundi viko viwili kuna kanga moko na hapa T ukitaka K kwa mkeo,huwa wana-show kila jumatano Continental Club karibu na Clock tower kwa kupokezana wiki hii kanga moko wiki inayofata hapa T,kiingilio buku 5.Wakuu naombeni ratiba ya kanga moko,laki si pesa nataka nikaone jinsi kanga inavyovaliwa...bila kusahau kiingilio chake!
amani ya mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.
Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa wangu.
Hapa nilipo nina furaha ya ajabu,ni muda mrefu sijawahi kuwa na furaha ya kiwango cha juu namna hii.shemeji yenu nimpendae kuliko kitu chochote hapa duniani amenifanya the happiest woman alive kwa kunivalisha pete ya uchumba.huyu shem wenu kuna kipindi nilidhan ananipotezea muda maana kila nilikua nikimtajia mambo ya ndoa alionekana hayuko tayari.baada ya kusubiri sana nikaamua kufunga kwa maombi,nikasema mungu kama huyu kijana siye uliyeniandalia naomba umfanye aniache nisonge mbele asinipotezee muda ila kama ndiye uliyenipangia basi naomba unipe ishara kwa yeye kunivalisha pete bila ya mim kumwambia wala kuongea lolote lenye kuhusiana na ndoa.kwa kweli mungu wangu is the most highest god,no one like him,i will always serve him.ndugu zangu lengo la kuandika hapa,sio tu kuwashirikisha furaha yangu bali pia ni kuwashuhudia kwamba tumshirikishe mungu kwenye mambo yetu yote,maana hekima zake si kama zetu.
Ashadii niandalie kitchen party.
shantel wenye moyo wapili wakowapi??mis u all ujaalikwa kwenye party unialike nasikia tu maatarumbeta huku njekitchen party usinikose, ndio nakujulisha kabisa, nitachanga kwa moyo mmoja
hongera cheusi, itabidi wengine tufunge duh, ni kweli mungu anajibu maombi kama tu tutamaanisha kutoka rohoni