Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia


Ameeeen......fuata ushauri wangu lakini....
 
usihofu ndio maana kanisan wanasema mumena mke kitu kimoja nikitumia cha mke wangu si haba ila wewe uruhusiwi nafikiri umechelewa kutomjua mama diddy humu
 
Hongera dada Cheusimangala,umefanya jambo jema sana kumshirikisha Mungu kwenye hilo.,si unajua wapendwa tunaamini kuwa "mwenza mwema hutoka kwa Bwana"
 
hongera mwanadada,its every girl 's dream kuvikwa pete ila kwa nini wanaume ndio wanavisha wadada pete yaani unakaa unasubiri weeee mpaka ajisikie ingekuwa inaruhusiwa pia mwanadada kumvika pete,kwa mfano cheusi usingekuwa na kaazi yoote ya kumgusia jamaa maswala ya ndoa wewe ungeenda nunua dukani pete na kumzukia jamaa will you marry me angekubali mngeanza maaandalizi ya ndoa angekataa ungesepa na pete yako kwa mwingine nachotaka kusema kwa nini na hili limeachiwa wanaume ndio wafanye/waamue lol
 
mama justinaa
umenifurahisha sana kinachofwata sasa ni kwanini wanaume wanaoa na awaolewi toba yaillaahtu la kwata
 
Mbona hujawahi kuniambia kama upo hapa JF?Waambie pia kuwa pete hiyo niliyokuvalisha ni aghali sana...!

ningewaambia gharama ya pete wangesema show off,wanajua ww huwezi kunipa pete ya bei ndogo
 

mungu akubariki kwa ujumbe wako,nimeurudia mara nyingi maana umejaa hekima.Narudia kusema asante na shetani lazima ile kwake kwa Jina la yesu.
 

thanx Jestina.
Hata mm cjui ni kwa nini iko hivi lkn tumezoea kuwa ni mwanaume ndiye anayetongoza,toa mahari oa valisha pete.Ila naona inanoga yeye alivyonivalisha kuliko mm ningemvalisha.Pia hata kumuomba akuvishe hainogo(mtizamo wangu) raha akae awaze mwenyewe akainunua akuvalishe kwa style aipendayo yeye kama kukusuprise kwa party or vyovyote bila kushurutishwa na mtu yeyote.Mim nilishangaa tu nasuprisewa and it felt very good.Tena hata kumgusia ndoa nilishaacha muda mrefu nilichokua nafanya ni maombi tu yamguse.Ila nasikia wahindi wao ndo huwa wanaoa wanaume so nadhani hata pete wao ndo wanawavalisha wanaume wao.Ni mazoea tu.
 
 
mbona hivo jamani mwenzio nataka kushuhudia

mod niliwahi kuweka tar 26 may 2011 tunaomba jukwaa la ushuhuda angalia sasa tunakosa mamboo muhimu ya shantel
mwaga shantel tumtukuze mungu humu humu jukwa la malavidavi
 
mungu akubariki kwa ujumbe wako,nimeurudia mara nyingi maana umejaa hekima.Narudia kusema asante na shetani lazima ile kwake kwa Jina la yesu.

amen cheusi ingawa kiswahili kinaleta shida si unajua tatizo la kusoma cambridge schooll aaahaaahaaa sasa unacheka nini!!Ni furaha yangu kama utaanza kuufanyia kazi na usisubiri jamaa akakubamba heri ubambwe na Yesu...si unaujua wimbo Amenibamba ...
jitahdi kusikiliza sana wimbo wa shetani imekula kwako nimzuri sana sana fight na yale maneno uone yaani mi ntakuwa shuhuda wa Mbinguni ukininyima duniani...Ubarikiwe

UJUMBE
Na Nyie wanaume mnaochangia humu msijaze thanks thanks like like kwa cheusi ...laa maana muwaombee wenzenu kwenye maisha yao mapya matarajiwa pengine unajiuliza vipi..eehhh haya ndio mambo muhimu cheusi anaitaji kuona akiwa kwenye ndoa anakukumbuka na wewe kwenye maombi...pili ombea huyu mwenzetu anaeeenda kuonja ladha ya Ndoa muda si mrefu...ukimwombea Mwenzako na wewe unafunguliwa mi nina kitabu cha maombi ya kubarikiwa moja ya sifa za kubarikiwa ni kumwombea mwenzako na si kusubiri uletewe kadi yakualikwa kuhudhuria kikao cha usluhisho hilo tumeshalikataa kabisa Anza kuomba..ukiwaombea hawa Mungu anafungua yule shori wako aliekuona ufai anakuona wewe ni wa maana zaidi ya wazazi wake..unajua samahani cheusi wanawake wengi hasa wa mjini natumaini mwanangu tulikuelea kijijini ingawa uko mjini lakini hawa waliozaliwa humu weee wengine wanatembea na mapepo...unashangaa anavikwa pete alafu baada ya mwezi pepo linamuuliza nani kakuvisha pete ..ya uchumba mwisho wa siku anaishia kubaki na jina la alivishwa pete anakuja mwengine anamvisha aama anamkimbia ama anakimbia yeye
Ndoa Garama jamani wengine tulipigwa kwenye mahusiano ndio maana atumwachi Mungu huyu alietupa pumzi kila la kheri anza kumwombea cheusi na baba cheusi ..atuitaji kuuliza majina halisi hayo ndio yake wengine mkipewa majina ya kweli mnaenda kwenye njia panda mnavunja yai na kuyasemea ""Nakwambia nalituma jini kasheshe likavunje vunje ule uhusiano..""nakwambia Kwa wengine sijui lakini kwa huu uhusiano binafisi nimeingia vitani nao litaanza kukuvunja wewe unaekimbiwa na wanawake kila siku na kuishia kuzeeka bila ndoa

Hongera Mwanangu kila lakheri
 
Inahusu??
Mwanangu cheusi
Kuna swali hapo juu ametoa na jibu hili ni attack kwenye ndoa na wanandoa wengi wanapigwa kwasabbabu walizni kabla ya kuana alafu baada ya kuaoana awajatubu ..start now Mungu awafungue wengine watuletee njia zaidi za kutoka m nasema Kama Mungu unaemwamini na nininaemwamini ukichukua yanayoongolewa humu nakwambia ndoa yako itakuwa Paradiso...
 
Tuombe....
Mungu baba nakuja jioni hii mbele zako, nikiwaweka vijana hawa wawili cheusi na baba cheusi mikononi mwako
Mungu baba waepushe na mabalaa yoyote, katika kipindi hiki, baba mungu tunajua hii ni mipango yako, ila tunajua pia shetani yuko kazini, baba ukafunge nguvu zote za giza, mikono yako iwe juu yao , ukawabariki watoto wako, uwape ustahimilivu , waepushe na majaribu yoyote, waepushe na mabaya yeyote baba,Mungu baba nasema haya nikiamini utatenda sawasawa na mapenzi yako, nina amini umenisikia baba, pokea maombi yangu katika jina la baba, mwana ,a roho Mtakatifu



AMEN
 

Mungu uketie mahali pa juu palipo inuka ninaunganisha maombi haaya kama ulivyosema wakiwapo wawili wewew upo pamoja nasi ninaungana na maombi ya shantel kukutukuza wewe juu ya binti dadaetu cheusi mangala najua weewe ndie Mungu ulieumba mbingu na dunia kupitia
wewe ulisema fedha mali waume vyote ni mali yetu bwana sasa ninatangaza uvumilivu wa ndoa juu yao ninatangaza kuachiliwa kwenye
uzao sawa na Mwanzo 1:24 ulisema tuzae na kuongezeka Mungu ninalaani kila aliesema vibaya juu ya tumbo la binti huyu ninalaani kila aliesema
vibaya juu ya sehemu za shemeji yetu ninatangaza kuachili wa uzao katika jina la yesu ninakaataa utasa juu yao nazaidi ya yote ninaomba
uwasamehe dhambi zao zote walizofanya kwa kukusudia ama kutokusdia kwa kujua amakutojua wewe ni Mungu wa msamaha ulikuja dunian kukomboa waliopotea nami ninaungana na Familia zao usiku wa leo nikilaani kila ugonjwa wa visasi ulitapakaa kwenye familia mbili hizi bwana yesu wewe ni Mungu u naeona nikataa visasi juu yao ninalaani laana zote za ukoo zisiwaguse katika jina la Yesu imeandikwa ufunu 12": 11 wakamshinda kwa damu ya YESU nami usiku waleo ninatangaza damu ya YESU iliomwagika pale kalavari ikatuzunguke wote wanaonda kwenye ndoa na sie tuliokwenye ndoa Mungu ninawapatinsha na wewe sawa na walawi 17:11 Damu ya YESU inaleta upatanisho damu ya Yesu ni uhai Ninatangaza Magonjwa yakawe hadithi juu ya maisha yao...Mungu nakkukumbusha Hes 14:28 lolote tutkalosema nafsini mwetu unakwenda Kufanya nami naamini Kupitia Neno lako ukawabariki na kuwatangulia bariki vizazi hivi vilivyokuwa na binyihuyuusiku wa leo kumfariji na kumfundisha katika maisha yake mapya matarajiwa Mungu na zaidi ya Yote

ukawabariki YOYOTE ANAETAFUTA MTOTO MUNGU NINAFUNGUA MIRIJA YA UZAZI YA MAMAYULE NINATANGAZA KUONGEZEKA KWA MBEGU KWA BABA YULE NINATANGAZA NGVU JUU YA MBEGU ZA KILA MWANA JF MUNGU NINAREFUSHA ILE MIKIA INAYOKATAA KUREFUKA NINAOMBA HEKIMA KWA VIONGOZI WOTE NA WANAMEMBER WA JF WAZIDI KUSHIRIKIANA KATIKA KUTOA MANENO YENYE BARAKA KWA KILA KILICHOMO HUMU...NAOMBA KUPITIA MWANAO YESU KRISTO NA WOTE TUSEME

AMEN
 
Waoooo hongera sana cheusi, mwache Mungu aitwe Mungu, wishing u the best of luck kwenye kila kitu hasa maandlizi ya kila kinachohusiana na ndoa, Mshike Mungu wako nae atakuwa upande wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…