“MUNGU ANAKUONA" SPECIAL THREAD

Huo msemo unatumika vibaya sana katika siku za karibuni.....it is an abomination to the holy spirit!!!...jina hilo latumiwa hovyo hovyo sana siku hizi
Ni mtazamo wako tuu .... Nanimeupenda [emoji120] [emoji120]

#Ni mtazamo tuu
 
Atoto unavyokataa kufua boxer za boyfriend wako Mungu anakuona!
 
wale walioandika Mungu ni mwingi wa rehema Mungu anawaona.
 
Nilidhani ni masuala ya DINI kumbe tofauti kabisa.

Haya, endeleeni ngoja nitoke mimi.
 
Watanzania hatujui tulifanyaro ee baba etu tupatie uwezo wa kiroho

##Ni mtazamo tuu
 
Enyi wahudumu wa Mabasi ya mikoani; hii tabia ya safari nzima screen zenu zinacheza nyimbo za Diamond na wanaijeria tu siipendi.. Kwann Hip Hop inapotezewa? Mungu anawaona.
 
we unaekula mapera mabichi makusudi na hunywi maji mengi afu ukienda toi "vima" yanagoma kutoka unaamua kuMOGOA kimya kimya eti hakuna anayekuona!? Mungu anakuona!.
 
Mambo mengine hayana maana...Mungu anakuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…