chid mawese
Member
- Dec 8, 2017
- 23
- 18
Moja kwa moja kwenye mada Mimi ni kijana sijaoa natafuta mke humu jf sababu zakutaka wanawake wahumu wameelimika na wanajua mambo mengi ya dunia
Nawasilisha
Wengi wao watakuwa wamelala mida hiiNgoja wakiamka watakuja
Nikweli mkuu ila kwakua kesho ni weekend atawapata mapema tuWengi wao watakuwa wamelala mida hii
Vigezo na mashart kuzingtiwaTeknolojia siku izi imeturahisishia sana mambo yani.
Aise ukapate sawasawa na mahitaji yako na mrejesho utuletee.
Nakuombea tu awe Timamu kiakili ,na mzima kiafya ,nikisema mzm awe mzm kwelikweli siku izi maozo nimengi mno.
hahaa lazima apige guitar ...""Na Mungu huyo huyo Mkuu pia akujalie usikutane na wale wenye ' Dally Kimoko Virus '. Kila la kheri sana katika ndoto zako.
hahaa lazima apige guitar ...""Na Mungu huyo huyo Mkuu pia akujalie usikutane na wale wenye ' Dally Kimoko Virus '. Kila la kheri sana katika ndoto zako.
kabisaaa...wapo humu watu wa mawindo ile mbayaaaNikweli mkuu ila kwakua kesho ni weekend atawapata mapema tu
Ushaanza kutuharibia.Usiombe kupata mwanamke anayejua mambo mengi ya kidunia kaka, atakusumbua mno.
Kila la kheri.
[emoji23].Usiombe kupata mwanamke anayejua mambo mengi ya kidunia kaka, atakusumbua mno.
Kila la kheri.