Mungu anijalie nipate mke humu JF

Au Dada ulimwambia upo single halafu inaonekana anakujua kuliko unavyojijua
Hahaha
Leo ndo nimeona hiyo ID yake, mie nina mume jamani, Mr T mwenyewe!!
Na Elii ndo anataka tangaza ndoa!! Babu nimemuacha kila kona namkuta anatongoza wooi
 
Hahaha
Leo ndo nimeona hiyo ID yake, mie nina mume jamani, Mr T mwenyewe!!
Na Elii ndo anataka tangaza ndoa!! Babu nimemuacha kila kona namkuta anatongoza wooi
Asanteee Elii aingie tu jamani anakupenda shemeji yangu nampenda akaribie mzee wa busara kipeuo cha pili
 
Asanteee Elii aingie tu jamani anakupenda shemeji yangu nampenda akaribie mzee wa busara kipeuo cha pili
Hahaha
Elii anasubiri nikue eti... Hivi mzee wa busara A yuko wapi?! Ukimuona msalimie sana jamani!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan Davet naona ukiniona tu unajuwa kikatuni chako nimeingia halafu babe hivi we kimbau mbau me kibonge bonge la bibi nawaza tu hapa hivi utanibebaje na ninavyopenda kubebwa sasa
[emoji23][emoji23] . .. usijari kuhusu hilo mama lao nipo fit sana yani utabebwa mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…