Mungu anijalie nipate mke humu JF

[emoji23][emoji23] . .. usijari kuhusu hilo mama lao nipo fit sana yani utabebwa mpaka basi
Ndio mana nakupenda babe wangu na ubonge huu nawaza tu usije ukanidondosha tu
 
Yaan nimepatwa mama alinijibu sijamjibu kitu yaan kila mwanamke kwake anajiuza sasa sijui anaona wivu
Tena id ya leo leo,ingekua ya zaman ningemjib lakin kwa vile mpya tena ya leo najua ndo wale wale wa jana[emoji57] [emoji57] akapambane huko,ukute genye zinamsumbua[emoji23]
 
Tena id ya leo leo,ingekua ya zaman ningemjib lakin kwa vile mpya tena ya leo najua ndo wale wale wa jana[emoji57] [emoji57] akapambane huko,ukute genye zinamsumbua[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] genye kama zinamsumbua ajiuze tu na yeye ili zimwiishe kuliko miwivu anayotuletea halafu huyu na wa jana atakuwa mtu mmoja tu
 
Halafu jamani uzi wa watu mmeuvuruga sijui huyo mke kama atapatikana ...maana stori zimekua tofauti kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…