Sikuona jamani... Mpaka leo mie ni bila bila kwa notificationNasoma na niliququote kabisa uliniulizia nikakujibu nipo hapa
HahahaBabu asprin alisema daby eti ndio Abdul nondo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahiyo nikiachika hizi hamu zangu utanikula wewe au hivi wewe si dada angu na uhenga huu unataka niachikeKhaaaa
Unataka niorodheshe ama??!
Yule mmoja alimsumbua mzigua jana loooh!!!alkua ananikera aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] genye kama zinamsumbua ajiuze tu na yeye ili zimwiishe kuliko miwivu anayotuletea halafu huyu na wa jana atakuwa mtu mmoja tu
Sawa babe nakuaminia shunie mmHahah!! Nipo vizuri bhn usiogope wala nini
Yaan wewe mods wangekupa umod mbona upo hiviii uzi si upo chit chat kutafuta wachumba ni love connect hukoHalafu jamani uzi wa watu mmeuvuruga sijui huyo mke kama atapatikana ...maana stori zimekua tofauti kabisaa.
Mkuu kifaa hiki hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116]Moja kwa moja kwenye mada Mimi ni kijana sijaoa natafuta mke humu jf sababu zakutaka wanawake wahumu wameelimika na wanajua mambo mengi ya dunia
Nawasilisha
Amina.
Sawa kibonge wangu...Sawa babe nakuaminia shunie mm
Pole mnoooo jamani kwahiyo upo jf kiupofu upofuSikuona jamani... Mpaka leo mie ni bila bila kwa notification
[emoji3][emoji3][emoji3] alisema toka Abdul nondo apotee na daby kapotea jfHahaha
Asprin nae ni changamoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mzigua alikuwa anaenda nae sambamba na vile mzigua alishapiga vitu vyake kichwani akili sio yakeYule mmoja alimsumbua mzigua jana loooh!!!alkua ananikera aiseeee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sawa kibonge wangu...
Inawezekana eeh[emoji3][emoji3][emoji3] alisema toka Abdul nondo apotee na daby kapotea jf
Yaani naotea tuuPole mnoooo jamani kwahiyo upo jf kiupofu upofu
Hahahaha hata me nimeona kama babu kaongea kaukweli hivi yaan sijui aliwaza niniInawezekana eeh
HahahaKwahiyo nikiachika hizi hamu zangu utanikula wewe au hivi wewe si dada angu na uhenga huu unataka niachike
Babu huwa anaotea tuu aki... Lakini kapotea ghafla uujueHahahaha hata me nimeona kama babu kaongea kaukweli hivi yaan sijui aliwaza nini
[emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mvuto wa kilingeni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibia mwezi sasa jukwaa limetekwa na couple yenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mzigua alikuwa anaenda nae sambamba na vile mzigua alishapiga vitu vyake kichwani akili sio yake
Nimekusamehe Dada we changamkia tu shemeji zako ukiwajuaHahaha
Nisamehe Mimi jamani