Sikuharibii ila sikuombei uyajue mambo mengi ya kidunia.Ushaanza kutuharibia.
Riziki ya mtu hutoka kwa Muumba.[emoji23].
Usizibe rizki bhana
Ukiyajua unayakabili usipoyajua utayafanya bila kujua.Sikuharibii ila sikuombei uyajue mambo mengi ya kidunia.
Kweli.Riziki ya mtu hutoka kwa Muumba.
Usijali dada
Jibu zuriUkiyajua unayakabili usipoyajua utayafanya bila kujua.
[emoji23][emoji23]Nikweli mkuu ila kwakua kesho ni weekend atawapata mapema tu
Sawa kabisa. Hata mimi naamini riziki ni popote.Kweli.
Wengine Mungu ndo kapanga hapa.
Salama Mzigua90?[emoji23][emoji23]
Salama mkuuSalama Mzigua90?
Hahaaa mkuu mke mwema anatoka jf eh hahaaa au nako ni kiwanda cha kutengeneza wake?Asee we jamaa una mawazo kama yangu.
Na mimi ntampatia hapa hapa
Nimesuuzika nafsiSalama mkuu
AmenAsee we jamaa una mawazo kama yangu.
Na mimi ntampatia hapa hapa
Wazima nyumbani?Nimesuuzika nafsi
Wazima sana, sijui upande wakoWazima nyumbani?
HahahaHahaaa mkuu mke mwema anatoka jf eh hahaaa au nako ni kiwanda cha kutengeneza wake?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Amen