Mungu anijalie nipate mke humu JF

Jamaniiii nikikwambia we kiben10 unanuna angekuwa muhenga mwenzangu asingeniuliza hilo swali
Hahah!! Basi tufanye kama hakijatokea kitu...

Ila umeshakuja hivyo ngoja nikajifungie tu ndani maana nikikaa na watu wananiona namna gani vp? kila muda nacheka cheka tu na simu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kujiuza starehe wajiunge na sisi waenjoy kujiuza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mijitu inafungua ids mpya kila siku kuquote wenzao ujinga ujinga kama anaona wivu si ajiuze na yeye au aje na id yake iliyozoeleka
 
Hahah!! Basi tufanye kama hakijatokea kitu...

Ila umeshakuja hivyo ngoja nikajifungie tu ndani maana nikikaa na watu wananiona namna gani vp? kila muda nacheka cheka tu na simu
Jamani babe kwahiyo na undugu na Chaplin au Mr bean [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo babe ulikuwa wapi nje na watu tena ebu endelea kukaa nao tu acha nilog out
 
Hongera shemu ila vp kuhusu [emoji116] [emoji116] hizi tuhuma?

[emoji23][emoji23] shemu yupo vizuri
Shem wako yuko vizuri sanaaa halafu mababy zake hawana wivu kabisa sema kuna mmoja tu ndio ana wivu shem wangu wa jana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mijitu inafungua ids mpya kila siku kuquote wenzao ujinga ujinga kama anaona wivu si ajiuze na yeye au aje na id yake iliyozoeleka
Yani mods wana kazi sana kipindi hiki kudeal na hawa matahira wasojiamini kufungua account mpya kila siku kukera wenzao
 
Jamani babe kwahiyo na undugu na Chaplin au Mr bean [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo babe ulikuwa wapi nje na watu tena ebu endelea kukaa nao tu acha nilog out
Kunatofauti kati ya funny na happy sasa wewe unanimake happy muda wote..

Ulogout uende wapi wewe embu rudi hapa, hawa achananao tu
 
Yani mods wana kazi sana kipindi hiki kudeal na hawa matahira wasojiamini kufungua account mpya kila siku kukera wenzao
Mods wangeziunganisha tu mijitu iumbuke yaan jf sasa hivi kama insta huko sababu ya mijitu michache
 
Kunatofauti kati ya funny na happy sasa wewe unanimake happy muda wote..

Ulogout uende wapi wewe embu rudi hapa, hawa achananao tu
That's my babe [emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda jamani kiben10 changu yaani umezaliwa kwa ajili yangu tu napenda unavyojiamini jamani kama jitu nene kumbe kimbau mbau
 
Aaahh hahah hahah!! Shunie bhn eti kimbau mbau [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…