Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
19 mimiDah kwahiyo mkuu wewe unamiaka 18
1999Haraka haraka ulizaliwa mwaka gan
Wa 8Mwez Wa ngap
Kwa nn mkuuUna bahat yako
Unauhakika mimi naamini katika huyo mungu wenu?Ahahaa mungu wake yeye na wewe
Asante sana mkuuMkuu still kumbe ni young but upo katika umri sahihi....ogopa sana huu umri wa 20's yan 20 -30 coz ndo zinadetermine utaishije....cha muhimu kuomba Mungu experience ya kipindi hiki iwe positive na kukutengenezea njia
Bado sana usiombe kuwa mkubwa
wengne tulkua bado mkuu ... Kama mm 99 tena august ... Sema tu ndo hvyo nmewah kupevukaMwaka 1997, nilikuwa darasa la tatu kumbe wengine mlikuwa mnazaliwa humu [emoji23]
Ninakuzidi miaka 20, am 42 now!Unanizid miaka mingap mkuu