luziiii
Member
- Jan 14, 2018
- 43
- 49
Mungu yupo anajuamatatizo unayopitia
kilasiku nimatatizo kichwa kinawaza hakinamwisho.
Umefunga hadi unakatataamaa
usiku huu unawaza hujui kesho ninikikombele yako
Mwamini Mungu kesho anafungua milango mipya
Usikate tamaa omba usiku waleo
Kesho utapata jibu
Shikilia imani yako omba bilakuchoka jibu lipo nalipo
Nawatakia wote usikumwema.Amen