Ahaha watu wanajua umuhimu wa mama zao!JF bn kweli kuna Mawatu hadi raha sana, kila Mwanaume aliyeandika ujumbe humu kakubaliana na Mtoa mada isipokuwa m1 tu kama vile huwa hawawapondi Ke au huwa Ke zinajiponda zenyewe...[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mungu akuheshimu Mama yangu" na si Mama yako ndiye amuheshimu Mungu?[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maybe yes,may be no! Unajiuliza siku ukiitwa kushuhudia kibaka kachomwa moto na kumbe ni mwanao!Wengine wana matatizo ya kisaikolojia mkuu