Mungu awaongoze wanaopambana kujitafutia riziki katika eneo la Mto msimbazi.

Hamza Nsiha

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2022
Posts
221
Reaction score
197
PSX_20230812_150407.jpg
 
Maisha haya,
Ukipita bagamoyo road, kama unatoka mjini, Dar eneo LA skansika, au jkt, kuna wa mama wanaponda kokoto, huwa najiuliza kitu gani niwafsnyie hiyo kazi Yao iwe rahisi kidogo, niwanunulie gloves na miwani!
Miaka kadhaa niliwahi kusoma mahari, mtu aliandika, "ma injinia wa bongo, mpaka Leo hawajaweza kutengeneza mashine ndogo ya kuponda kokoto,ili kuwasaidia wajasiriamali wadogo kama hawa"
 
Kiukweli mkuu, ni Mungu pekee tu maana ukifikiria mazingira haya kuna kila aina ya microbes kuna minyoo kuna bacteria n.k lakini Mungu pekee
 
Okay. Hiyo picha nimejaribu kuizoom out nikaona kila kitu clear ndio maana nimeipenda. Picha nyingine ukiizoom sana huwezi ona kila kitu kikiwa clear.
Oh! Kwan unatumia simu gani Hannah
 
Back
Top Bottom