eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Mtoto na babake walienda msibani,baada ya msiba kuisha viatu vya mtoto vikawa vimeibiwa.Baada ya kulia sana yule mtoto,baba akamtuliza mwanae kwa kumwambia,usilie we mwachie mungu.Mtoto akajibu,mbona mungu havimtoshi?