eddy brown JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 414 Reaction score 314 Jun 19, 2015 #1 Mtoto na babake walienda msibani,baada ya msiba kuisha viatu vya mtoto vikawa vimeibiwa.Baada ya kulia sana yule mtoto,baba akamtuliza mwanae kwa kumwambia,usilie we mwachie mungu.Mtoto akajibu,mbona mungu havimtoshi?
Mtoto na babake walienda msibani,baada ya msiba kuisha viatu vya mtoto vikawa vimeibiwa.Baada ya kulia sana yule mtoto,baba akamtuliza mwanae kwa kumwambia,usilie we mwachie mungu.Mtoto akajibu,mbona mungu havimtoshi?
ncm Member Joined Jun 8, 2015 Posts 35 Reaction score 9 Jun 19, 2015 #2 Great thinker! Safi sana toto.