Inasikitisha sana kwani kwa maoni yangu ni kuwa duniani Waafrika pamoja na Waesia ni jamii ya kistaarabu na Utu lakini tamaa za mali na hasa kukumbatiwa na mataifa makubwa yenye kutaka raslimali zetu kwa bei ya chee zimetengeneza madikteta na ushenzi wa hali ya juu. Halafu hao hao wenyekunufaika na ushenzi huu wanatucheka.
Halafu gavana wa BOT aliyekulia uji wa ulezi anakubali zitumike shilingi bilioni moja kumtengenezea nyumba ya kulala wakati wajomba na shangazi zake huko Malinyi/mahenge/ifakara wanashindia kipande cha muhogo!!

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.