Mungu ibariki Africa na watu wake!

Hizi picha ni kweli ziko valid, lakini ni za zamani sana.

Sina carbon-14, but i can estimate kwenye miaka ya 1950s...

Ni mtizamo tu!
 
Hizi picha ni kweli ziko valid, lakini ni za zamani sana.

Sina carbon-14, but i can estimate kwenye miaka ya 1950s...

Ni mtizamo tu!
It will always be called Africa...
 
mhMH inasikitisha saaana wakuu bianadamu hujafa haujaumbika

ongeza picha zingine
 
Inasikitisha sana kwani kwa maoni yangu ni kuwa duniani Waafrika pamoja na Waesia ni jamii ya kistaarabu na Utu lakini tamaa za mali na hasa kukumbatiwa na mataifa makubwa yenye kutaka raslimali zetu kwa bei ya chee zimetengeneza madikteta na ushenzi wa hali ya juu. Halafu hao hao wenyekunufaika na ushenzi huu wanatucheka.
 
Halafu gavana wa BOT aliyekulia uji wa ulezi anakubali zitumike shilingi bilioni moja kumtengenezea nyumba ya kulala wakati wajomba na shangazi zake huko Malinyi/mahenge/ifakara wanashindia kipande cha muhogo!!
 
hilo nalo neno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…