Mungu Ibariki Rwanda Mungu ibariki Kiyovu

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Naamini Kiyovu kimekuja kuchukua point zake tatu muhimu. Hakika leo kiyovu kitatutoa kimasomaso. Mimi nakitakia kiyovu ushindi mwema wa magoli 3 bila. Bila shaka sasa hivi simba kiroho kinadunda. crushwise na wengine aina yake karibuni sana uwanjani muone jinsi kiyovu kinavyo ondoka na point tatu.
 

Kweli wewe si m-bongo, swahili yako ni tosha kukufafanua ni nani wewe.
By the way, wabongo tumeanza kubadilika huwa hatuombeani dua za hivyo. Unahaki ya kushabikia nchi yako kama ufanyavyo, mimi ni mwanachama wa Yanga na naisapoti SIMBA ishinde leo kwa heshima ya taifa langu.
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!!! utashangaa wewe na roho yako wakati WATZ, wanabeba point zote tatu
 
nyie nani kawaambia kuna pointi 3 leo? Hizi mechi ni mtoano, pointi hazipo bali goal difference pekee ndo itafanya timu moja kufuzu. Kama timu zikiwa sawa kwa magoli basi away goals zitaamua timu gani imefuzu.
 
simba mnalo leo. hahahaaaa....!!!m lakini kumbukeni ntawapeni updates bila upendeleo. ki-yovu kikishindwa au kushindwa poa tu. lakini kumbukeni simba mliishangilia zamalek so hainikatazi kuishangilia kiavu.
 
acha kuloga ndugu yangu

hahahaaaa...!!!. usiogope ndugu yangu. ile juzi ulivaa jezi ya zamalek umesahahu? mkuki kwa nguruwe. leo kiyovu imekuja sasa. Mtaikana simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…