idrisa uwesu
Member
- May 13, 2018
- 5
- 1
Hahahah bila shaka weweee utakuwa gongowazi fcKwanza hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, ndiyo maana linakumbwa na majanga kila siku
Mkuu bila kupepesa macho huyo ni kuogelea fc [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Hahahah bila shaka weweee utakuwa gongowazi fc
Lini,saa ngapi,wapi,na huyo mganga ni Nani,mwisho ulikuwepo?Kwanza hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, ndiyo maana linakumbwa na majanga kila siku
Watu mliozoea uchawi mawazo yenu yapo kiganga ganga tu[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Kwanza hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, ndiyo maana linakumbwa na majanga kila siku