Daa mungu tusaidie kesho tuweze kunywa hata maji
Mnapenda sana maombi na kuombewa kumbe ni waovu tuKwa Uzalendo na Umoja unaofanywa na Wachezaji wetu wa Tanzania Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, Tuwafunge wa Kenya.
Kwa Uzalendo na Umoja unaofanywa na Wachezaji wetu wa Tanzania Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, Tuwafunge wa Kenya.
Lazima tuishangilie kwa kweli