Nianze na Lowassa kwenye nini, sijawahi kimshabikia; simshabikii na wala sintokaa nimshabikie. Nakuambia hayo unayojifanya yanakusikitisha huko Kenya hata hapa ni suala la muda tu.
Alimwaga mapesa ktk kampenni[emoji3]
Je angejilipaje??
Ndio maana magu haishi kusema sikuchaguliwa na matajiri mafisadi wala kwa hela ya mtu[emoji3]
Nilichaguliwa na wananchi wanyonge na hapa nawafanyia kazi wanyonge
Mkuu naisapoti hoja yako kwa %100[emoji817][emoji817][emoji1317]