Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Sasa Mambo ya Walawi yanakuhusu Nini wewe wa Kigamboni Tanzania au Kibiti.
Mambo ya Walawi ni yanayowahusu Walawi na Mungu wao ndio Alikuwa anawaandikia Hao. Kisheria Huna Kosa Lolote ukijichora Maana Hukuambiwa Wewe
Ujichore ili ugundue nini haswa ilihali hukujiumba wewe, je ungeumbwa ukiwa na michoro choro kila kona ya mwili si pia ungelalamika kwanini umeumbwa na ngozi kama Chatu?Sasa Mambo ya Walawi yanakuhusu Nini wewe wa Kigamboni Tanzania au Kibiti.
Mambo ya Walawi ni yanayowahusu Walawi na Mungu wao ndio Alikuwa anawaandikia Hao. Kisheria Huna Kosa Lolote ukijichora Maana Hukuambiwa Wewe
"Huna Ulijualo "Sasa Mambo ya Walawi yanakuhusu Nini wewe wa Kigamboni Tanzania au Kibiti.
Mambo ya Walawi ni yanayowahusu Walawi na Mungu wao ndio Alikuwa anawaandikia Hao. Kisheria Huna Kosa Lolote ukijichora Maana Hukuambiwa Wewe
Hapo umetoa laana.Mfundishe kwa upole.Wajuaji kama nyie huwa kwanza wanakuwa na maisha magumu,pili huishia motoni
Kisheria tena!! Kisheria inakuwa sio kwa mujibu wa Neno la Mungu bali kwa mujibu wa sheria za nchi husika.Sasa Mambo ya Walawi yanakuhusu Nini wewe wa Kigamboni Tanzania au Kibiti.
Mambo ya Walawi ni yanayowahusu Walawi na Mungu wao ndio Alikuwa anawaandikia Hao. Kisheria Huna Kosa Lolote ukijichora Maana Hukuambiwa Wewe
Tuambie wewe unalolijua zaidi ya Mungu?"Huna Ulijualo "
Kuna sehemu inasema, hakuna jipya chini ya jua.Biblia ni kama ilimaliza kila kitu
Wamasai wanajichora alama zao kwenye mashavu, bibilia haijafika kwao je wanakua wanakosa?
Wamamgati wanajichora alama za Chale mashavuni, ni tamaduni zao, je wanakosea
Hii ndio kitu sikubaliani nayo hasa vitabu vya dini vinapohusika. Kama mtu hajui katazo fulani, anahukumiwa vipi?Kosa ni kosa, ignorance of law is not an excuse.