Mungu katengenezwa na nani?

Mkuu hebu niambie imani/msimamo wako ni upi ili tuone kama huo msimamo wako nao hauna makosa pengine unaweza kuwashawishi watu wakawa na huo msimamo
 
Ushahidi uliousema was kutoka Qur'an hauoneshi kwamba umetoka kwa mungu kwa sababu in wa kibinadamu c kimungu hivyo vitabu vya dini vimeandikwa na watu waarabu kwa wayahudi hakuna kitu hicho
Wewe hujui lolote kuhusu kuran. ukiweza kunijibu masuala haya ndipo nitaamini kama una ujuzi wa quran
1.Nini maana ya quran?
2.Msahafu ulianza wapi?
3.Jee kabla ya msahafu quran ilikuwa wapi?
4.Kwanini tukiangalia menuscript za kuran za mwanzo na za saivi zinafanana ilihali ishapita miaka 1400 na hakuja badilika kitu?
 
Kwa hapa tu nimjua wewe hujui kitu nakusahisha kwanza hapa sio kuran ni Qur'an

Nitakujibu ukinijbu hapa kabla ya mtume Islam walitumia kitabu gani?

Nieleze kwa nn mtume aliingia na viatu msikitini?
 
Hakuna Mungu. Ametungwa na watu tu. Ni character tu kama Santa Claus.
 
Umekimbia nasubili jibu nimbie waislam walitumia kitabu gani kabla ya mtume c mnasema Qur'an iliteremshwa!! Sasa kabla ya kuteremshwa mlitumia kitabu gani

MNA utaratibu wa kuvua viatu kuingia msikitini kuswali

Kwa nini mtume Muhammad S A W aliingia navyo hali ikiwa ninyi hamfanyi hivyo?

Najua huwezi kujibu halo nakupa wiki kawaulize mashekhe uniletee jibu
 
Nipe tafsiri ya maneno hata
"Inna llah wamalaikatahu yuawaluuana ala nnabiy
 
Wazungu na warabu wametulisha matango matamu sana
 
Mpagani ni nani?
Kutokana na andiko hili la bibilia ukiristo ni upagani
"Wakiristo maana yake ni mfuasi wa kiristo, hilo ni jina la kupanga tu. Lililotumiwa na wapagani wa antioquia"
Matendo ya mitume 11:25
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muangalie msikufuru
We hakuna kukufuru hapo hizo ni hadithi fikilishi hakuna kitu hicho kama kusikia kuna kiumbe anaitwa Dragon ktk China lakini hakuna hata mchina mmoja aliyewahi kumwona Dragon
 
Hakuna Mungu. Ametungwa na watu tu. Ni character tu kama Santa Claus.
Mungu yupo kiongozi. Ila siyo huyu tuliyelishwa na wazungu na waarabu ili watuteke na kututawala kimawazo
Naamini kabisa yupo aliyeumba hivi vyote vilivyomo humu duniani na kwingineko. Hebu fikiri vitu kama mpangilio wa nyota na vingine vingi lazima kuna aliyeviratibu vyote hivi.
Hata zamani mababu na bibi zetu walimuabudu huyo Mungu muumba kabla hata ya wageni kutuletea hizi dini zao, kwa hiyo hapa unaona kabisa yupo aliye juu ya vyote hivi
 
Kwanza l

Wala hutopata ukweli kwasababu moyo wako hujauruhusu kutafuta ukweli
Kwanini unaandika hivyo? Kitu gani kilichokufanya useme hivyo?

Moyo kazi yake kusukuma damu, unahusikaje na kuniruhusu kutafuta ukweli?
 
Unajua ukifikiri hivyo,kwamba kila complexity ni lazimaiwe na muumbaji, utajifunga kwa sheria yako mwenyewe urudi kukubaliana nami kwamba Mungu hayupo.

Kwa ajili ya kuzungumzakiuchunguzi tukubalikwamba hakuna kilicho complex ambachokinaweza kutokea bilakuumbwa na kingine.

Naturally, kinachoumba kitakuwa complex zaidi, kwa hivyo nachokitakuwa complex.

Na kwa sababu hakuna kilicho complex ambacho hakijaumbwa, nacho kitahitaji muumbaji.

Utarudi hivyo hivyo, ad absurdia, ad nausea, utakuta ukiifuata sheria hiyo, Mungu hawezi kuwepo.

Kwa sababu na yeye atakuwa complex na atahitaji muumbaji na muumbaji atahitajimuumbaji bila mwisho.

Unaona udhaifu wa kanuni yako sasa?

Unaona inavyotupeleka kuona Mungu hawezi kuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…