Mungu mwenye nguvu zote unaeona yote ukatende jambo juu ya ukatili huu watoto wanauwawa na kunyofolewa viungo lakini vyombo vya usalama vinashindwa kubaini watuhumiwa isipokuwa tu Kwa mtoto asimwe ambae Raisi Samia alitoa amri wasakwe ndo tukaona nguvu ya polisi.
Tunaomba na hawa wengine mauaji yanayoendea pia raisi atoe matamko haki itendeke...damu zilizomwagika zipige kelele daima kwenye nafsi za wahusika wasipate amani daima Hadi kiama
Tunaomba na hawa wengine mauaji yanayoendea pia raisi atoe matamko haki itendeke...damu zilizomwagika zipige kelele daima kwenye nafsi za wahusika wasipate amani daima Hadi kiama