Mungu ndani ya jela

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
248
Baniani mmoja alikuwa jela na sanamu wake wa kuabudu;kila siku akawa ana iabudu na
kuiomba atoke jela. Kwenye chumba hicho hicho kulikuwa na muislam naye akawa anasali na kumuomba
mungu atoke jela. Siku moja muislam akaachiliwa huru.Wakati anatoka baniani akamuuliza,"Vipi,wewe
nafanyaje mpaka iko toka,mimi naomba kila siku hapana toka!" Muislam akajibu,"Tatizo ni kuwa wewe na mungu wako nyote mko jela,atakae toa
mwenziwe nani?"
 
Dipak Tanna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…