Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Salaam.
Tukubaliane kuwa adamu na hawa/eva walikuwapo kuishi katikati ya bustani eden(nature) waliishi kwa muda mrefu na hatimae shetani alipewa mamlaka ya kuwajaribu na amefanikiwa.
Nadharia ya mungu na sayansi haviendani kwa sababu sayansi ni observation/practcal na mungu ni nature.
Kwenye bustani ya eden adamu alimuona shetani ila hakufanikiwa kumuona mungu.
so,mungu ni nguvu(mazingira) unapoharibu mazingira umeharibu/umeweka uadui.
acha binadamu tuteseke.