Mungu ni mwema wakati wote

MICSIMON

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
41
Reaction score
13
Tusisikitike sana tunapoondokewa na wapendwa wetu
tusije tukamkosea muumba wetu bure
MUNGU hutenda haki kwa kila kiumbe
 
MUNGU haonei kiumbe chake
tumshukuru yeye kwa kila jambo
hakuna jambo ambalo MUNGU wetu hukosea kiasi kwamba sisi
 
Karibu sana JF, jisikie upo nyumbani
 
Karibu sana, mimi pia sio mwenyeji sana ila utawakuta wenyewe watakujulisha kona zote za jumba hili. Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tubadilishane mawazo. Sasa mbona uko mikono mitupu au ndo umeshamaliza zawadi zote? Si unajua mgeni njoo mwenyeji apone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…