IKARAHANSI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 398
- 479
Hivi Msabila maana yake nini
..........Limemuwakilisha binadamu katika nini?
Mkuu sidhani kama unamsemea Athumani kashingoo ..mzee mmoja aliyekuwa maarufu sana Arusha ..kwa wanaofahamu msikiti wa ngarenaro yeye ndo alitoa eneo na alishiriki kwa asilimia kubwa katika ujenzi...Huyu jamaa. Athuman alikuwa jirani yetu miaka hiyo ya 40s. Alikuwa na mambo mambo mengi sana. Alikuwa na tupesa kidogo.so ikawa akitaka msaidia mtu anaangalia nani ambaye huwa waniva naye...mwingine anampiga chini.kama una dada mkali basi hapo athumani atakusaidia sana ili aje amle dada yako.basi ndo ikawa watu wakipata jambo bila kusaidiwa na athuman ndo wanasema Mungu si athumani yaani hapendelei
Hakuna dini yenye majina, majina yalikuwepo kabla ya dini kuja, Jina la Athumani lina asili ya Uarabuni!!!Kwani Athumani ni wa dini gani?
Ahsante kwa majibu, lakini ni kwa nini watumie jina "Athumani"?Mungu sio mwanadamu
Kwa nini "si Athumani"Mungu si Athuman
Athumani alikuwa tapelitapeli, mwongo mwongo, haamini, ahadi zake hazijawahi kutimiaWaheshimiwa habari za mihangaiko ya siku!!
Ni matumaini yangu kuwa mko powa na wale wenye matatizo ya hapa na pale nawaombea kwa MUNGU awapitishe salama katika hali hiyo.
Nimekuwa nikisikia huu usemi kuwa "MUNGU SI ATHUMANI" tangu nilipoanza kujitambua, sasa ninaamini humu jamvini kuna wajuzi wa historia pia uzoefu wa maisha na ninaomba wanijulishe yafuatayo:-
a. Huyu Athumani alikuwa nani (Kimamlaka au kivyovyote) na alimkosea nini MUNGU?
b. Alitokea taifa gani hapa Duniani?
c. Kwa Nini iwe Athumani na siyo Daudi au Makame?
Ni matumaini yangu kuwa sasa nitapata majibu sahihi kupitia JF.