Mungu si athumani.

Mungu si athumani.

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Hivi huu msemo ulitokana na nini.,? Historia yake ikoje...(yani kwa nini athumani na si jina lingine)
 
Athumani ni jina la mtu,kwahiyo mungu si athumani maana yake god is not like human being,mungu upenda wote habagui kama athumani(john doe-mtu).
 
Athumani alikuwa mwizi maarufu sana wa riziki za watu hapo zamani.
 
Back
Top Bottom