Mungu wabariki manesi wote, Amen..

Mr PARE

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Posts
780
Reaction score
520
Inasemekana manesi ndio wanawake wasafi zaidi na wenye huruma na kujali waume zao.

Hii inatokana na nature ya kazi yao ambayo ukarimu kwa mgonjwa ndio kipaumbele chao.

Je! Kuna ukweli wowote kuhusu hili?

FUNGUKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa huyo nesi, magonjwa yote yatatutoka.
 
Huyo dada pichani siyo muuguzi,nadhani aliazima mavazi hayo apigie nayo picha tu.Turudi kwenye maada,kazi ya mtu haimfanyi kuwa kama unavyosema mkuu,unaweza kuta ni mkarimu Kwa wateja wake,ambao ni wagonjwa,ila akishatoka hapo,usiulize. Ni sawa Na askari au hakimu,utakuta ana huruma Na upendo,linapokuja suala la kazi,ni kazi,utakula nyundo za kutosha tu.
 
Mwanajeshi wakike aliokoka abarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…