Wote waliotajwa wameisha jibu kwa ufasaha kabisa na ushahidi wametoa wa ki maandishi. Hakuna kitu hapo , jamaa ameingizwa mjini this time amepewa ngoma feki aiseeee
GeniusBrain, hivi kweli wewe una AKILI? Ngoja nikujibu kwa hoja rahisi!
Fact: EXIT stamp kwenye passport zinaonesha TAREHE pekee ya siku mtu alipoondoka kwenye nchi yake au ugenini. Hazioneshi MUDA!
Sasa, bila kupata Flight Manifest, ikionesha aliondoka kwa ndege gani huko SA, na ilikuwa ni wakati gani, hatuwezi KUTHIBITISHA kama kweli Rostam hakufika La Cairo, Mwanza.
Tarehe 19 ilianzia 12:00 AM. Angeweza kuondoka kwa ndege ya 12:00 AM (Saa 6 usiku) na KUWAHI kufika Dar, na KUWAHI kufika Mwanza!
Kwa hoja hiyo, Rostam amejikaanga mwenyewe!
Unataka nizungumzie utata wa JK kuwapo kwenye kampeni? Kwa helikopta yake ANGEWEZA vizuri sana kuruka toka alikokuwa, hata kama ilikuwa Mufindi, na kufika Mwanza in time for the meeting. Na kwa kuwa ulikuwa MKUTANO WA SIRI, haukupaswa KUTANGAZWA. So, si lazima (na si lazima watu wote wajue miendendo ya JK kila wakati) watu wa Mwanza wajue kama Rais wao yuko hapo!
Kabla ya kubwabwaja pangeni vema STATEMENT zenu! MNABOA!
-> Mwana wa Haki
SISI SI WAJINGA, tunaweza kufanya ANALYSIS!