Mungu Wasamehe Wanawake Wote

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Mungu Wasamehe Wanawake Wote

Wanaoponda Wanaume Wafupi,

Wanene, Wabaya Na Masikini

Wape Maisha Marefu

Waendelee Kuchezewa Na MahandSome Hadi Uzeeni

Amen_
 
unanenepaje na wewe ni maskini .huo ni ubinafsi wa hali ya juu hufai hata kidogo
 
Mungu Wasamehe Wanawake Wote

Wanaoponda Wanaume Wafupi,

Wanene, Wabaya Na Masikini

Wape Maisha Marefu

Waendelee Kuchezewa Na MahandSome Hadi Uzeeni

Amen_
Dah..Pole sana..naona umevurugwaaaa...hukusoma ile ripoti ya utafiti?? Itafute uisome labda ni mmoja wao huyo...Hata hivyo huyo unayemuomba alikwisha sema tuishi nao kwa akili 😀😀😀
 
Dah..Pole sana..naona umevurugwaaaa...hukusoma ile ripoti ya utafiti?? Itafute uisome labda ni mmoja wao huyo...Hata hivyo huyo unayemuomba alikwisha sema tuishi nao kwa akili 😀😀😀
Na Ndio Mana Nimewaombea waish miaka mingi
 
Mkuu tatizo kung'ang'ania matawi usiyoyafika lazima utadondoka... Tumia akili acha kulia lia......
 
Je wewe unapenda wanawake wanene,wabaya na maskini kama hupendi kimoja kati hayo basi mungu akusamehe Mara mbili
 
Mtoa mada wewe ni mfupi,mbaya na masikini?
Ila nimecheka sana kwakweli
Vumilia tu hata wanawake nao wanavumilia mengi tu kutoka kwenu.
 
Mtoa mada wewe ni mfupi,mbaya na masikini?
Ila nimecheka sana kwakweli
Vumilia tu hata wanawake nao wanavumilia mengi tu kutoka kwenu.
Mie Wakawaida tuu Bt Nimependa kushare Na nyie Hayo Makitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…