PRAISE THE LORD... Mfikishie pole zangu za dhati kabisa... Tukio lile litakuwa vigumu kufutika kwenye maisha yake si vibaya aka-fanyiwa Counseling,vipi kuhusu fidia? insurance ya basi ime-cover? Pili kuna kiongozi yeyote wa serikali ukitoa wabunge na wakuu wa Mikoa/Police ya MZA na KGM aliyekwenda kuwajulia hali? Je kuna wahalifu wowote waliokamatwa?