Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu Kijana wa kutokea Mlowo Mbozi, Mkulima duni wa jembe la mkono ambaye kwa maelezo yake mwenyewe bajeti yake kwa mwezi haizidi shilingi Laki 1 za Kitanzania, na ambaye hajawahi kumiliki hati yoyote ya kusafiria. Leo hii anatimiza mwaka mmoja Gerezani kwa Tuhuma za uongo za kuuza madawa ya kulevya na kusafirisha madawa hayo kutoka Pakistan kuyaleta Tanzania.