Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ukweli mtupu !Shetani hajawai kushinda..
Hata akimuacha Mungu atamtoa tuSi mama atamtoa baada ya kikao na vyama vya siasa?
Kukichwa kutapambazukaHuyu Kijana wa kutokea Mlowo Mbozi, Mkulima duni wa jembe la mkono ambaye kwa maelezo yake mwenyewe bajeti yake kwa mwezi haizidi shilingi Laki 1 za Kitanzania, na ambaye hajawahi kumiliki hati yoyote ya kusafiria. Leo hii anatimiza mwaka mmoja Gerezani kwa Tuhuma za uongo za kuuza madawa ya kulevya na kusafirisha madawa hayo kutoka Pakistan kuyaleta Tanzania.
View attachment 1779590
Shetani hajawahi kumshinda MunguMungu aliyesimama nae kwa Mwaka mzima atamvusha kwenye Hilo analopitia.