Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Munir Akram Balozi wa Pakistan Kwenye Umoja wa Mataifa Anazungumia Kuhusu Ubaya wa israil kuwauwa Raia wa Kipalestina wasiokuwa na hatia. Kwa kisingizio cha kuwamaliza Hamas.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maadam israhell ipo hata waue mpaka nzi wajiandae na tukio jengine kubwa kuliko hili miaka kumi na kadhaa mbeleUbaya ni kwamba hamas walipovamia October 7 hawakudili na wanajeshi pekee .......walidili mpaka na raia......ndio maana Netanyahu naye anawapiga wotee wale wa kujifanya jeuri wapole wapenda ngono mabaunsa mpaka chocolate........hao dawa ni kuua wote mpaka kuku kama wapo kwenye mabanda yao maaana ni wajeuri sana......na tena washajifunza kubeba bomu
Inawasidia au itabadilisha nini wakati mpaka mjipange tena pale gaza sio chini ya miaka 30........unafikiri na yeye Israel atakuwa anakusubilia tu??..............kweli watu wa mudi mnamatatizo ya miaka bilioniMaadam israhell ipo hata waue mpaka nzi wajiandae na tukio jengine kubwa kuliko hili miaka kumi na kadhaa mbele
Jeuri ya kujitoa wataitoa wapi? Vijana wa kiislam kila siku wanakufaa wakiwa wanajaribu kuvuka bahari ya mediterranean ili waingie Europe na America, kwanini wasiende Iran, Qatar, Oman, Saud Arabia ? Huko kwa kafiri wanafuata nini?Umoja wa mataifa ni unafik tu, hakuna mwenye ubavu wa kuwapinga mazayuni wala wamarekani humo.
Nchi za Kiislam kama hazina unafik wangejitowa tu katika huo mkusanyiko wa makanisa.
Waende kwaa mazayuni? Ni heri kwa wakristo huko kuliko kwa mazayuni.Jeuri ya kujitoa wataitoa wapi? Vijana wa kiislam kila siku wanakufaa wakiwa wanajaribu kuvuka bahari ya mediterranean ili waingie Europe na America, kwanini wasiende Iran, Qatar, Oman, Saud Arabia ? Huko kwa kafiri wanafuata nini?
Yaaaani una swali logical sana,lakini I'm sure utapewa jibu jepesi sana kuliko hata unavyotarajia.Jeuri ya kujitoa wataitoa wapi? Vijana wa kiislam kila siku wanakufaa wakiwa wanajaribu kuvuka bahari ya mediterranean ili waingie Europe na America, kwanini wasiende Iran, Qatar, Oman, Saud Arabia ? Huko kwa kafiri wanafuata nini?