Munir El-hadad ajiunga na Morocco National Team

Munir El-hadad ajiunga na Morocco National Team

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
images (4).jpeg


Mechi kati ya Morocco na Mauritania, kwa wale waliobahatika kuitazama mechi leo...Kuangaza kwangu macho nikamuona fundi wa Sevilla Munir El hadad akichezea timu ya taifa ya Morocco, nikabaki na mshangao...Je, ni mchezaji wa mataifa yote mawili Morroco na Spain kwa pamoja???


God bless you guy's
 
Tar. 5/2/2021 aliruhusiwa na fifa kuamisha utaifa wa kisoka kutoka spain na kwenda Morocco.
Sahiz ataiwakilisha Morocco.
 
Back
Top Bottom