Munisaidie Kuchagua

COLLOH-MZII RELOADED

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
7,544
Reaction score
3,131
Hawa wawili wameniitia date Saturday.... Niende na nani?
1.corazon kwamboka

Ama
2.Vera Sidika

sent from iPhone 7
 
Mzee

Hiyo kitu ya kwanza ni noma asee!

Moyo wangu umemdondokea!

Nyama zimekaa mahala pake ati.



- KANA -
 
acha uboya aanza kwa vera kula mambo then jifanye una dharura unamalizia kwa corazon
 
Toa uchafu humu, waambie hao malaya wakaoshe vichwa maana nywele 'zao' zinanuka.
 
Huyo wa kwanza akichuma matembele lazima uzirai si mchezomchezo!! Halafu anaonekana hana mashauzi kama huyu wa pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote tupa kule kama ungepata nafasi kwa huyu binti ningekuelewa.

-Ndumilakuwili-
 
Ngoja maoni yangu kuhusu Corazon ntarudi nayo baada ya uchaguzi.Dah...toto si tortoise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…