Munishi aishiwa uvumilivu, Atoa ushauri kwa Rais.

Huyu jambazi na tapeli wa kale naye anashauri siasa amecha kumuimbia marebo

USSR
Mzee ulikuwa off nini mbona unachelewa kwenye nyuzi? Leo hatukulipi!
 
Katika wachungaji/maaskofu/mapadri na viongozi wote wa kikristu nilikuwa nakukubali sana Bwana Malebo ila kwa hili BOKO la leo ulilotoa nimekupuuza hasa!
Katoa boko ndani ya 18
 
Munishi anasumbuliwa na chuki binafsi dhidi ya dini ya kiislamu. Nakumbuka hata enzi za msoga alimsumbua sana baada ya kuja jiwe(mkiristo) akapotea. Ameingia Samia(muislamu) ameibuka upya. Dawa ya huyu pimbi ni albadil tu maana akichekewa atasumbua sana kama alivyomsumbua mzee jakaya na baadae kukimbilia kenya
 
Umenena vema Mkuu
 
Wakristo hua hatuna hizi perepeche. Ameamua kuvaa hijab avae, mavazi yake hayana uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wake wa kuongoza.

Halafu kukashifu upishi wa vitumbua. Ushwahili, uswahilini mimi naona ana shida zaidi ya hijab za madame president
 
HUYO MSHAURI WA MAREBO YAFAA AAMBIWE KUWA MARAIS WOTE WALIOTANGULIA WALIKUWA NA IMANI ZAO! JAPO SERIKALI HAINA DINI! KAMA AMBAVYO YEYE MUIMBIA MALEBO ANA IMANI YAKE !
 
Kuna mtu alisomewa mpaka leo anadunda!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kimsingi wanawake wote wanatakiwa wajistiri kama huyu Chief Hangaya anavyofanya ndio mafundisho ya Biblia yanavyotaka.

Hata wale Watawa Masista huwezi kuona wameacha nywele zao wazi ni lazima wavae vilemba kujistiri.

Mimi ni Mkristo sikubaliani na Munishi katika hili, huenda huyu jamaa huwa anachoma bangi kidogo.

Ndio maana hata hii Taliban mpya mpaka sasa naona wako sawa hakuna wanaponyanyasa wanawake bali utaratibu ufuatwe na hakuna mambo ya 50 kwa 50 huo siyo mpango wa Mungu ni sera za kijinga kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…