Munishi aishiwa uvumilivu, Atoa ushauri kwa Rais.

Vile huku wengi ni wajukuu na hamkujua kuwa munishi na shehe yahya walitimuliwa na mwalimu wakaenda kuishi kikimbizi nchi ya jirani.
 
Mbona masister wanafunika vichwa?
 
Magufuli alivyokua anaongea mambo ya nchi kanisani waislam hawakusema nchi inaendeshwa kikanisa
Wakristo Mara nyingi mnakua na zengwe sana mkiona muislam yuko madarakan.
Kama kuvaa tu mavazi ya kujistiri imekua nongwa mnasema anavaa kiislam je na yeye akianza kuhutubia Taifa kupitia msikitini si ndo vita ya din itaanzia hapo.
Kama din yenu haina maadili ya kujistiri na kuvaa kimini kwenu ni sawa huo ni uhuru wenu muachen na yeye ajistiri huo ni uhuru wake.

Achen ubinafsi.
 
Hivi huyu kiongozi inaweza kutokea siku moja akahiyari kupita mitaani ili kuwatia moyo wenye shida!? Na iwapo itatokea akakutana na mama muuza vitumbua ataweza kumkumbatia ili kumfariji!?
 
Hivi huyu kiongozi inaweza kutokea siku moja akahiyari kupita mitaani ili kuwatia moyo wenye shida!? Na iwapo itatokea akakutana na mama muuza vitumbua ataweza kumkumbatia ili kumfariji!?
 
Hamia Afghanistan kwa Taliban
 
Kama alikubali kuingia kwenye siasa kwa ridhaa yake ni vyema mambo ya ushungi aweke pembeni

Hili litakupeni shida sana njia ya mkato ni kujitumbukiza chooni mpaka atakapo achia urais unawza kuibuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…