Munishi aishiwa uvumilivu, Atoa ushauri kwa Rais.

Kama unauelawa fulani ivi hebu weka hapa nasi tujue

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 

Mavazi hayaashirii dini ya mtu ni wenye afya mbaya ya akili tu ndio hulinganisha dini na mavazi
 
Noma sana [emoji106]
 
Hata avae gunia sisi inatuusu nini [emoji23]
 
Munishi mwenyewe msenge.
 
ndio miaka mingine 10 inapotea hivyo,badae tutajiulizaje nchi imefikishaje 70yrs ikiwa hohehahe
Toa sababu tatu za msingi kwa kile unachokiona wewe RAIS aliyepo madarakani Anakwenda kuturisha nyuma ukilinganisha na maendeleo aliye yakuta kutoka kwa mtangulizi wake.

Pili toa sababu tatu zingine za kukazia HOJA yako kwamba katika kipindi kifupi RAIS toka APRIL hadi SEPTEMBER alicho shika madaraka hakuna kitu kinaendelea cha msingi ili tufahamu na sisi watu wengine.
 
Naomba nipate historia fupu ya mnishi
Alizaliwa Kilimanjaro

Akakulia Arusha na Nairobi

Akawa jambazi

Akaokoka

Akawa muimbaji na muinjilisti

Makazi yake ni Nairobi na Arusha kidogo
 
yaani huyu mpuuzi siku hizi simuelewi kabisa ni tofauti na kipindi cha nyimbo za malebo sasahivi limekuwa kama lishoga fulani tu limeingia kwenye siasa halafu halijui siasa ukimfuatilia utajuwa tu yaani anamaongezi ya kukera sana sasa mtu alikuwa hivyo toka zamani hiyo ni imani yake yaani abadirishe imani yake kwaajii ya kuwa rais? fuata kimoja kuhubiri au uache kuhubiri ufanye siasa ambayo huiwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…