HakikaUkitaka kujua moyo wa mtu, angalia anavyotendea viumbe wasio na sauti ya kujitetea.
Hapo kwenye miti nakuunga mkono lakini kwenye wanyama hapana mkuu. Hebu fikiria ndio umerudi zako gheto usiku umechoka mbu wanakupokea kwa shangwe hujabadilisha nguo unaona bonge la nyoka ndani tena chini ya kitanda chako. Je, utalala usingizi? Au utaendelea na msimamo wako wa kusema hakuna kutesa wanyama?Mtu asiye na upendo kwa miti hana huruma kwa maisha na asiyejali wanyama hana utu wa ndani.
Miti inatupatia hewa safi, kivuli, na uhai, wakati wanyama ni sehemu muhimu ya mfumo wa maisha duniani.
Ikiwa mtu anaweza kukata mti bila sababu au kutesa mnyama bila huruma, hana mipaka ya ukatili wake.
Kesho anaweza kufanya jambo baya zaidi kwa binadamu mwingine bila kujali.
Upendo kwa mazingira ni kielelezo cha utu.
Ukitaka kujua moyo wa mtu, angalia anavyotendea viumbe wasio na sauti ya kujitetea.
Ukiona mtu anajenga nyumba na hataki mti wowote upandwe kwenye viunga vyake mchunguze vizuri utagundua ni mtu katili sana.
NAONA UNAMCHOKOZA BWANA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE.Mtu asiye na upendo kwa miti hana huruma kwa maisha na asiyejali wanyama hana utu wa ndani.
Miti inatupatia hewa safi, kivuli, na uhai, wakati wanyama ni sehemu muhimu ya mfumo wa maisha duniani.
Ikiwa mtu anaweza kukata mti bila sababu au kutesa mnyama bila huruma, hana mipaka ya ukatili wake.
Kesho anaweza kufanya jambo baya zaidi kwa binadamu mwingine bila kujali.
Upendo kwa mazingira ni kielelezo cha utu.
Ukitaka kujua moyo wa mtu, angalia anavyotendea viumbe wasio na sauti ya kujitetea.
Ukiona mtu anajenga nyumba na hataki mti wowote upandwe kwenye viunga vyake mchunguze vizuri utagundua ni mtu katili sana.
Nadhani hii picha hapo chini inakukumbusha mbali. Irudishe asee!Mtu asiye na upendo kwa miti hana huruma kwa maisha na asiyejali wanyama hana utu wa ndani.
Miti inatupatia hewa safi, kivuli, na uhai, wakati wanyama ni sehemu muhimu ya mfumo wa maisha duniani.
Ikiwa mtu anaweza kukata mti bila sababu au kutesa mnyama bila huruma, hana mipaka ya ukatili wake.
Kesho anaweza kufanya jambo baya zaidi kwa binadamu mwingine bila kujali.
Upendo kwa mazingira ni kielelezo cha utu.
Ukitaka kujua moyo wa mtu, angalia anavyotendea viumbe wasio na sauti ya kujitetea.
Ukiona mtu anajenga nyumba na hataki mti wowote upandwe kwenye viunga vyake mchunguze vizuri utagundua ni mtu katili sana.
Kutokana na comment yako, fafanua kidogo Rostam linamhusuje?NAONA UNAMCHOKOZA BWANA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE.
Huyo ndiyo fyeka fyeka wa wanyama kama tembo nk na misitu yetu yote ...ukisikia biashara ya pembe za ndovu au magogo bandarini muhusika ni huyo kiumbe na familia yake.Kutokana na comment yako, fafanua kidogo Rostam linamhusuje?