Muombeeni Ben Pol

dogo amekaa kilokole sana mbona...du kama anatumia hayo madude ndio basi tena..

Walokole ndo wabaya...
Mtu akipata maswahibu ya dunia...anaokoka.
Akiugua ngoma....anaokoka
Akiachwa/achika.....anaokoka
Maisha yakimpiga dole...anaokoka.

Mwavuli wa Ulokole ni mbaya sana.
....napita tu....
 
Walokole ndo wabaya...
Mtu akipata maswahibu ya dunia...anaokoka.
Akiugua ngoma....anaokoka
Akiachwa/achika.....anaokoka
Maisha yakimpiga dole...anaokoka.

Mwavuli wa Ulokole ni mbaya sana.
....napita tu....

kula like,umenikumbusha yule mbunge aliewachangisha wenzie bungeni kua anaolewa ndoa ikaota mbawa,nasikia nae mlokole
 
Tukianza kuombea mateja wenye kuhtaji maombi genuinely watayakosa.
 
Jamaa yupo poa ila stress tu, tuzo yake kalundikiwa huihui mmoja, ya Barnaba nayo kapewa huihui, ya Diamond nayo kapewa huyo huyo huihui. Kijana ameshindwa ku contain machungu ndo maana ulimwona kama kala ngada.

"huihui"? bwahahahahaha
 
Alafu mnajua huyu Ben Poul alianza kuimba kwanza kanisani akahamia secular hata Lina na huyu Baraka wote wanaibuka lakini
Hawana mashiko yoyote zaidi ya stress na kujiumiza.

Kuna nguvu fulani secular rock stars wanaitumia not known to many lakini usifikiri mtu ana hit from nowhere.
 
Walokole ndo wabaya...
Mtu akipata maswahibu ya dunia...anaokoka.
Akiugua ngoma....anaokoka
Akiachwa/achika.....anaokoka
Maisha yakimpiga dole...anaokoka.

Mwavuli wa Ulokole ni mbaya sana.
....napita tu....
Na pia unatakiwa kujua hakuna mtu mwema ila wapo wanaojitahidi kuwa wema baada ya kushtukia uovu wao at least them.
 

Mkuu unataka kumaanisha Freemason?
 
Mkuu hiyo interview kwenye tuzo gani?? Iko utube??
 
Bado story zenu wote hazijanyooka.
Nyoosheni kisha mpigie mistari
 
Nimesoma kila neno la wadau humu.... bado siamini hzi habari!
Naungana na Ruttashobolwa.... ekyana kyo Omuhaya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…