Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
Jambo letu tena!
Muonekano wako pekee hautoshi kuwaeleza wengine uwezo wako au nguvu zako. Jitahidi kuwavutia wengine kwa namna utakavyotumia akili yako kutatua changamoto zinazoisibu jamii.
Ichangamshe akili yako ili upate namna ya kuepuka mawazo yasiyosaidia lolote. Jizoeze kujikubali na daima tengeneza furaha yako ianzie ndani mwako. Kwa jinsi hiyo utawavutia wengi na wengi watatambua mchango wako.
Pocco
Hata kama huna hela lakini siunaishi 🤣🤣