MUONEKANO
Muonekano wako ni muhimu sana katika haya maisha yetu ya sasa. Kuvaa kwako ni muhimu sana na kunaongeza thamani ya utu wako. Kuna watu wanavaa tu ili mradi wamevaa lakini kuvaa vizuri kunakujengea mambo mengi sana kama kijiamini, kuheshimiwa na kuaminiwa. Kwa sababu mtu anakuamini kwa kiasi fulani kutokana na ulivyovaa na kupendeza hivyo basi rafiki yangu jitahidi kuvaa na kupendeza zaidi ili baadhi ya mambo yako yakae sawia.
UWEZEKANO
Muonekano kuongeza uwezekano ipo hivi:- Kutokana na kuvaa kwako na kupendeza vizuri kunakupa uwezekano wa jambo fulani katika kulifanya. Mfano unaenda kukuopa pesa, mtu cha kwanza ataangalia muonekano wako na ndipo atajua una uwezo wa kulipa au la. Hata ukikutana na mwanamke njiani tu na ukataka kumtongoza / ukamtongoza cha kwanza ataangalia muonekano wako kwanza jinsi ulivyovaa na kutokezea [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji117] Kumbuka unapotoka nje au unatoka na rafiki zako DRESS TO KILL aaaah vaa pendeza utajiamini na kujikubaliiiii [emoji94]
True Story[emoji118]