Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Aug 21, 2020 #1 Mchezaji wa zamani wa Man Utd, Ashley Young ambaye kwasasa anakipiga Inter Milan huu ndio muonekano wake mpya. Zamani alikuwa ana kipara muda wote, kwasasa ameachia nywele kichwani... Watu wa Man Utd mnamkumbuka Ashley Young kwa jambo gani?
Mchezaji wa zamani wa Man Utd, Ashley Young ambaye kwasasa anakipiga Inter Milan huu ndio muonekano wake mpya. Zamani alikuwa ana kipara muda wote, kwasasa ameachia nywele kichwani... Watu wa Man Utd mnamkumbuka Ashley Young kwa jambo gani?
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Aug 21, 2020 #2 Kupiga kigodoro kwenye vyumba vya kubadilishia nguo vya OT
fadtanji JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 767 Reaction score 998 Aug 21, 2020 #3 Aliuwasha moto, wakati tukiwapiga na kuwaongezea nickname washika mikuki Asenane
M Mseleleshaji Member Joined Jun 9, 2020 Posts 96 Reaction score 111 Aug 21, 2020 #4 Kama ana miaka 28 vile kumbe babu
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Aug 21, 2020 #5 Mseleleshaji said: Kama ana miaka 28 vile kumbe babu Click to expand... Kwaiyo Ashley anamzidi umri beki mpya wa Simba bwanamdogo Joash Onyango?
Mseleleshaji said: Kama ana miaka 28 vile kumbe babu Click to expand... Kwaiyo Ashley anamzidi umri beki mpya wa Simba bwanamdogo Joash Onyango?
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Aug 21, 2020 #6 NAWATAFUNA said: Kwaiyo Ashley anamzidi umri beki mpya wa Simba bwanamdogo Joash Onyango? Click to expand... Onyango mwenyekiti barqza la wazee yanga.
NAWATAFUNA said: Kwaiyo Ashley anamzidi umri beki mpya wa Simba bwanamdogo Joash Onyango? Click to expand... Onyango mwenyekiti barqza la wazee yanga.