Muonekano mpya wa Chid Benz

Jana niliusikia wimbo wake wa chaguo langu nilikumbuka mbali sana enzi hizo nasoma natongoza madem kutumia lyrics zake...hahaha
 
Jana niliusikia wimbo wake wa chaguo langu nilikumbuka mbali sana enzi hizo nasoma natongoza madem kutumia lyrics zake...hahaha
Huu wimbo mwanamke kasifiwa sana.umesaidia wengi kupata mademu.pia wimbo mwingine ambao mwanamke kasifiwa Sana Ni una alioimba Prof Jay na Ngwea
 
Mungu amsaidie sana, One of the best Tanzania had!
 
Shida ya unga ni big struggle kuacha kabisa. Utasikia karudi kule kule.

Unga ni never try
Kabisa kuacha yale makitu mpaka uingie kaburini ndio utaconfirm umeacha lakini kama unaishi at the end anaweza kurudi tena!! Katika vilevi vyote NYUNGA ni hatari sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…